Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Featured Posts

AO Secretarial & Technology Supplies

Kwa Habari za Kitaifa na Kimataifa, Biashara, Mawasiliano, Michezo na Burudani peruzi kupitia mtandao wetu tutakupatia kila kitu ndani na nje ya nchi yetu.
TANGAZA BIASHARA YAKO NA AO Secretarial & Technology Supplies

Saturday, September 16, 2017

Thursday, August 4, 2016

Ulinzi waimarishwa katika mipaka ya pamoja baina ya Kenya na Sudan Kusini

Serikali ya Kenye imetangaza kuchukua hatua kali za kiusalama katika maeneo yote ya mpakani wa nchi hiyo na nchi jirani ya Sudan Kusini.
David Nyabuto, kamanda wa polisi katika eneo la Turkana, kaskazini mwa Kenya amesema kuwa, polisi ya nchi hiyo imetuma askari wake katika maeneo ya mpaka wa nchi mbili, hususan katika eneo la Nadapal, kaskazini magharibi mwa nchi karibu na mpaka wa Sudan Kusini, kwa lengo la kudhamini usalama na kufuatilia wakimbizi wanaokimbia mapigano ndani ya taifa hilo jirani.

HRW yaitaka serikali ya Nigeria kumuachilia huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu

Shirika la Kutetea Hazi za Binaadamu 'Human Rights Watch' limeitaka serikali ya Nigeria kumuchilia huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake.
Shirika hilo la haki za binaadamu limewataka viongozi wa serikali ya nchi hiyo kuhakikisha wanamuachia huru kiongozi huyo wa Kiislamu na mke wake Zeenat ambao wanashikiliwa tangu tarehe 14 mwezi Disemba mwaka jana bila ya kufunguliwa mashitaka yoyote dhidi yao na serikali ya Nigeria.

Makumi wapoteza maisha katika mafuriko makali nchini Sudan

Makumi ya watu wameripotiwa kupoteza maisha yao katika mafuriko makubwa yaliyoikumba mikoa 13, kufuatia kunyesha mvua kali nchini humo.
Ismat Abdul-Rahman, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Sudan sanjari na kuwatahadharisha wananchi juu ya uwezekano wa kushadidi kwa janga hilo amesema kuwa, hadi sasa watu 76 wamepoteza maisha yao. Ameongeza kuwa, katika mafuriko hayo zaidi ya nyumba 1300 zimeharibiwa kikamilifu na kuwafanya wakazi wake kukosa mahala pa kuishi.

How to keep Facebook, Twitter from being terrorists’ hunting grounds

Democratic presidential nominee Hillary Clinton said that, if elected, she would try to curb terrorists from using the Internet as a recruiting tool.

"We will disrupt their efforts online to reach and radicalize young people in our country. It won't be easy or quick, but make no mistake – we will prevail," Clinton said in her acceptance speech at the Democratic National Convention.
But Clinton's statement raises questions over what can be done to prevent terrorists from using Facebook, Twitter and other social media as extremist hunting grounds.

£ 50M zinahitajika KWA Draxler

Arsenal itabidi kuvunja benki kama wanataka huduma ya Julian Draxler kutoka Wolfsburg, kwa mujibu wa Daily Star. 

Julian Draxler

Kuna taarifa zinasemekana kuwa Wolfsburg wanataka zaidi ya £ 50 kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye uraia wa Taifa la Ujerumani, ambapo imebainika anataka kuondoka klabu ya Bundesliga.

Real Betis yafanya mazungumzo na PSG kuhusiana na usajili wa Stambouli

Real Betis na PSG wameanza mazungumzo juu ya uhamisho wa kiungo wa zamani wa Tottenham Benjamin Stambouli, ripoti Marca.

Stambouli ni huru kuondoka mji mkuu wa Ufaransa klabu na Betis ni nia ya kumleta kusini ya Hispania. mchezaji mwenyewe yupo huru kucheza katika La Liga.

PSG ni kutafuta ada ya € 9m, kiasi kwamba Betis ni nia ya kulipa. Wangependa kutekeleza mpango wa mkopo na baadaye kumnunua kama mchezaji wao wa kudumu.

Schalke pia inafuatilia kwa karibu mazungumzo ya timu zote mbili na wako tayari kutoa kiasi cha 8m ili kupata huduma ya kiungo huyo.

Wednesday, August 3, 2016

Rais wa Sudan Kusini awapiga kalamu nyekundu mawaziri sita wa Machar

Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewapiga kalamu nyekundu mawaziri sita wa upande wa makamu wake wa zamani wa rais yaani Riek Machar.
Akihutubia taifa kupitia televisheni ya serikali, Rais Kiir amesema kuwa, amewafuta kazi mawaziri hao wenye mafungamano na hasimu wake wa kisiasa Riek Machar.