Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Thursday, November 21, 2013

Ajali yatokea Barabara ya Kenyatta

Ajali yatokea barabara ya Kenyatta katika eneo la Igogo kituo cha Tanesco jirani bandari ya TPA. Gari la mzigo aina ya Scania truck lilikuwa likiteremka kuingia barabarani liliikwaruza Hiace inayojihusisha  na kazi ya kubeba abiria toka Buhongwa kwenda Igoma. Hiace hiyo ilikuwa imebeba abiria toka Buhongwa kwenda Igoma, hakuna abiria aliyejeruhiwa katika ajali hiyo. Chanzo cha ajali hiyo mpaka sasa bado hakija julikana, tusuburi ripoti ya polisi hapo baadae.

Gari lililosababisha ajali hiyo katika eneo la TANESCO

Askari wa Usamala barabarani wakielekeza magari njia ya kupita baada ya ajali hiyo

Wakazi wa eneo wakiangalia tukio hilo katika eneo la TANESCO

Daladala iliyokwaruzwa na Gari la mizigo ikitolewa katika eneo la tukio

Gari la askari wa usalama barabarani ilikiwa katika eneo la tukio

Wakazi wakiliangalia Daladala iliyokwaruzwa jinsi inavyotolewa kwenye eneo la tukio








No comments: