Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amewataka
wananchi wa Misri kuwa macho katika kukabiliana na njama za maadui wa
nchi hiyo.
Akizungumzia machafuko yanayoendelea nchini Misri, Ayatullah Muhammad
Emami Kashani amesema kuwa, Misri ni moja kati ya nchi zenye ustaarabu,
utamaduni, elimu, na maarifa makubwa ya Kiislamu ulimwenguni na
kusisitiza kuwa, wananchi wa Misri wamekulia kwenye mafundisho ya
Kiislamu ingawa leo hii maadui wameitumbukiza nchi hiyo kwenye
machafuko.
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa,
ijapokuwa wananchi wa Misri hawana kiongozi mwadilifu na faqihi, lakini
wanapaswa kuwa na umoja na mshikamano.
Katika sehemu nyingine ya hotuba yake Ayatullah Kashani amewapongeza
Waislamu kote duniani kwa kuingia katika ugeni wa Mwenyezi Mungu kwenye
mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na kuwataka wazidi kumcha Allah katika
mwezi huu.
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amewataka
wananchi wa Misri kuwa macho katika kukabiliana na njama za maadui wa
nchi hiyo.
Akizungumzia machafuko yanayoendelea nchini Misri, Ayatullah Muhammad
Emami Kashani amesema kuwa, Misri ni moja kati ya nchi zenye ustaarabu,
utamaduni, elimu, na maarifa makubwa ya Kiislamu ulimwenguni na
kusisitiza kuwa, wananchi wa Misri wamekulia kwenye mafundisho ya
Kiislamu ingawa leo hii maadui wameitumbukiza nchi hiyo kwenye
machafuko. Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa,
ijapokuwa wananchi wa Misri hawana kiongozi mwadilifu na faqihi, lakini
wanapaswa kuwa na umoja na mshikamano.
Katika sehemu nyingine ya hotuba yake Ayatullah Kashani amewapongeza
Waislamu kote duniani kwa kuingia katika ugeni wa Mwenyezi Mungu kwe
No comments:
Post a Comment