Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Wednesday, June 19, 2013

Mbunge wa Mbeya Sugu apata ajali akielekea Arusha

Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) amepata ajali mbaya ya barabarani wilayani Hanang’ baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na basi la abiria.
Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita wakati Mh. Sugu akielekea Arusha. Taarifa zinadai Mh. mbunge hajadhurika!


No comments: