skip to main |
skip to sidebar
Ofisa wa TRA Arusha akichukua rushwa waziwazi!
Ofisa wa
TRA Arusha akipokea rushwa toka kwa mteja ili aweze kumhudumia.
Ofisa huyu yupo mapokezi (reception) na inadaiwa ni kawaida yake kupokea Rushwa na
kuwa usipompa anadai kwa nguvu.
No comments:
Post a Comment