![]() |
Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee |
Serikali iende ikae na wananchi na kuwasikiliza ili waridhiane. Kila kitu kisitishwe kwa sasa hadi maridhiano yawepo.
Kinana ni mmojawapo wa Wakurugenzi wa ARTUMA imebainika Kinana na CCM wananufaika na mikataba hii. Wawekezaji wanakaribishwa lakini wawe makini na mikataba ya kifisadi![]() |
Wanachama wa CHADEMA katika Picha - Diamond Jubilee |
No comments:
Post a Comment