Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Wednesday, April 11, 2012

Raia waishio kando kando ya Bahari ya Hindi watahadharishwa na TETEMEKO la ARDHI

Mamlaka ya hali ya hewa nchini wamewatahadharisha raia wanaokaa kando kando ya Bahari ya Hindi kuanza kuhama katika miji yao kuepuka tetemeko la ardhi litakalotokea kuamzia majira ya saa 1:00 usiku hadi 3:00 usiku.

Hivyo mamlaka hiyo imetoa tahadhari hiyo kufuatana na matukio yaliyoweza kutokea katika nchi nyingi ambazo ziliwahi kupata gharika hilo.

No comments: