Jenerali mstaafu Mwita Kyaro amezikwa leo Jijini Mwanza. Mstaafu huyo alifariki dunia siku mbili zilizopita alikuwa anasumbuliwa maradhi kwa muda mrefu akiwa amelazwa hospitalini.
Familia ya Jenerali huyo imepokea kwa masikitiko makubwa ya mzee wao, baadhi ya watoto wa marehemu Mwita Kyaro wanasema kuwa walimpenda sana mzee wao lakini Mungu kampenda zaidi yao, hivyo wanamtakia maghafila kwa Mungu.
Imeandaliwa na Omary Kisimba - Mwanza

No comments:
Post a Comment