Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Sunday, July 14, 2013

Wizi wa Umeme waendelezwa Kinondoni

Vitendo vya wizi wa nishati ya umeme katika Manispaa ya Kinondoni vimeendelea kujitokeza ambapo baadhi ya wafanyabishara wa maduka wa Mtaa wa Kinondoni wamekuwa na tabia ya kujiunganishia umeme kinyume na taratibu za shirika hilo na kulisababishia hasara shirika hilo kama ilivyodhihirika pale maafisa wa shirika hilo walipokamata baadhi ya wafanyabishara hao

No comments: