Wakimbizi wengi kutoka Sudan na Sudan Kusini wamewasili katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya.
Afisa mmoja wa kambi hiyo ya wakimbizi amesema, kambi hiyo haiwezi kupokea wakimbizi wengi.
Amesema kwa sasa kambi hiyo imezidiwa na kwamba, wakimbizi hao wanahitajia misaada.
Amesema, kwa bahati nzuri kwa sasa hawana shida ya maji kutokana na kunyesha mvua nyingine nchjini Kenya. Imeelezwa kuwa, wakimbizi hao kutoka Sudan na Sudan Kusini wamekuwa wakikimbia machafuko katika maeneo yao.
Wakati huo huo, Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, hali ya mambo katika eneo la mpaka wa Sudan na Sudan Kusini ni mbaya. Hayo yanajiri huku juhudi za kieneo na kimataifa za kuzipatanisha Sudan na Sudan Kusini zikiendelea.

No comments:
Post a Comment