Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Saturday, April 28, 2012

KWA MPANGO HUU TUTAFIKA TUENDAKO? WAPISHE VIJANA WAFANYE KAZI

Kigogo akionekana amelala wakati Bunge linaendelea
 Huyu ni mmoja kati ya vigogo wanaongoza kwa kulala Bungeni na sio kuchangia mada wakati wa Bunge likiwa linaendelea. Je? tujiulize wakati madaktari wakilalamika kutimiza 
mahiataji muhimu tunashindwa kuwatimiza, ila tunaweza kuwaongezea 
misharaha, posho pamoja na marurupu mengine viongozi 
wanaoenda kulala Bungeni na sio kuwasilisha mawazo 
ya wananchi walio muagiza huko.

No comments: