Bunge la Misri limeakhirisha vikao vyake likilalamikia hatua ya baraza la kijeshi linatawala nchi hiyo hivi sasa ya kupuuza kuondoka madarakani.
Bunge la Misri limeakhirisha vikao vyake kwa muda wa wiki moja katika kulalamikia utendaji wa baraza la kijeshi la nchi hiyo na vile vile serikali ya Kamal al Janzuri.
Bunge la Misri limeakhirisha vikao vyake baada ya wabunge kuunga mkono hatua hiyo kwa kura nyingi za ndio na kufuatia pendekezo lililotolewa na wawakilishi wa chama cha Uhuru na Uadilifu cha nchi hiyo.
Muhammad Said al Katatni, Spika wa Bunge la Misri ameeleza kuwa bunge hilo linachukua maamuzi yake kwa uhuru kabisa na kwamba haliathiriwi na mashinikizo ya serikali.
Al Katatni amesema, bunge linaheshimu katiba ya Misri na hukumu za kisheria na kwamba halishughulishwi na tishio lolote la kulivunja bunge hilo.

No comments:
Post a Comment