Miaka minne baada ya kifo cha mume wake wa pili , Vogel-Coupe aliingia
katika ukahaba ,kutokana na anachosema ni ukiwa anaosema ndio sababu ya
kumfanya ajiingize kwenye biashara hiyo.
Akiwa na uwezo wa kuwaburudisha wateja walau 10-kwa wiki , ameweza kukutana na wateja wengi kuliko unavyoweza kufikiria.
Akizungumza kuhusu wateja wake wa kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni hisia nzuri. Nafahamu nina mvuto sana."
Akiwa amevalia sketi fupi (kimini) na viatu vyenye kisigino kirefu,
Vogel-Coupe alijisifu na kujivunia kwamba bado anaweza kutengeneza pesa
kutoka chumbani kwake.
Akielezea kwa nini ameamua kuifanya kazi hiyo,
alisema: " Sababu ya muhimu zaidi ni kwamba napenda ngono. Hata
kuifikiria tu inanifanya nijihisi vizuri''
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mirror, Sheila
atakuwa kwenye makala maalum yanayoangazia wanawake wakongwe makahaba
'My Granny the Escort'.
No comments:
Post a Comment