Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Wednesday, June 19, 2013

Arusha kwachafuka tena, mabomu ya machozi yatumika kuwatawanya wananchi

Hali kutoka mkoani si nzuri...mabomu ya machozi yanapigwa  kuwatawanya  wananchi  waliojitokeza  kuiaga  miili ya  wananchi  waliofariki katika mlipuko wa bomu...
Hivi sasa polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CHADEMA waliofurika katika uwanja wa Soweto Mjini Arusha ulipotokea mlipuko wa bomu Jumamosi kuomboleza ambapo polisi inasema mkusanyiko huo si halali
Taarifa toka mkoani humo zinadai kuwa gari la mh. Lissu liteketezwa vibaya kwa bomu.

No comments: