![]() |
Ndege ya Jeshi la Marekani iliyokuja katika msafara wa Obama kwa kazi ya kujaza mafuta kwenye Air Force One |
![]() | |
Jiji la Dar es Salaam lilivyo busy katika harakati za kumpokea Rais wa Marekani Barrck Obama |
![]() |
Helkopta atakayoitumia Rais Barack Obama wakati wa ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania |
![]() |
Jiji limependeza na Mabango ya picha za Rais wa Marekani |
No comments:
Post a Comment