Muswada wa kupiga marufuku uvutaji wa sigara kwenye mkusanyiko wa watu
uko njiani kupelekwa katika Baraza la Wawakilishi, Zanzibar. Muswada huo
ukipita, mtu yoyote atakayebainika kuvuta sigara kwenye umati wa watu,
kuhukumiwa kifungo cha siku saba au faini ya shilingi laki mbili na nusu
No comments:
Post a Comment