
Akizungumza Alhamisi katika kongamano la pili la kimataifa kuhusu Somalia huko Istanbul Uturuki, Mahiga amesema kunapaswa kushuhudiwa mabadiliko katika misaada ya kimataifa kwa taifa la Somalia ambapo kipaumbele kinapaswa kupewa familia, jamii na taasisi za ndani ya nchi ili suluhisho la muda mrefu lipatikane.
Kikao hicho ambacho ni cha pili kufanyika Istanbul kimewaleta pamoja wawakilishi wa sekta binafsi, viongozi wa Somalia, wafadhili, Umoja wa Mataifa na jumuiya za kijamii. Lengo la mkutano huo limetajwa kuwa ni kusaidia ujenzi mpya wa Somalia na mchakato wake wa
No comments:
Post a Comment