Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Thursday, May 3, 2012

Ikulu Yaarifu: JK Kutangaza Baraza La Mawaziri Wakati Wowote Kuanzia Sasa…

Ikulu imetoa taarifa rasmi kwamba baraza jipya la mawaziri liko jikoni na sasa litatangazwa muda wowote kuanzia sasa..taarifa hiyo imeongeza kwamba baraza hilo litakua lina ubora wa hali ya juu sana.

No comments: