Wanajeshi wapatao 4,500 wameripotiwa kutoroka makambini na kuachana na kazi hiyo. Ripoti hiyo imetolewa hii leo na gazeti la utawala haramu wa Israel Yediot Aharonot na kusisitiza kuwa, polisi ya utawala huo imeanzisha oparesheni kubwa ya kuwasaka askari hao waliokimbia. Ripoti hiyo imesema kuwa, oparesheni ya msako huo itadumu kwa muda wa wiki mbili na kwamba askari hao waliokimbia wataburuzwa kortini baada ya kutiwa mbaroni.
Gazeti hilo limeongeza kuandika kuwa, idadi ya askari wanaotoroka jeshi la utawala wa Israel imeongezeka maradufu kiasi kwamba hadi kufikia mwaka 2010 askari waliotoroka jeshi walikuwa 1,800 huku mwaka 2012 wakifikia 2,700.

No comments:
Post a Comment