Taswira
mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa
Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu
jijini Dar es salaam mchana huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo
kawaida yake amepita kila mahali kuangalia kwamba mambo yanaenda
mswano, ikiwa ni pamoja na kusaliamiana na makundi ya wananchi wa Dar es
salaam walioko katika lango kuu la Mashariki.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaliamiana na makundi ya wananchi wa Dar es salaam walioko katika lango kuu la Mashariki.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia Kibao cha Barabara wa Barack Obama.

Jengo la Ikulu.

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe akisoma ratiba.




makundi ya wananchi wa Dar es salaam walikishangilia wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipopita kuwasalimia.PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment