Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.
Kwa habari zaidi fuatilia baadaye kupitia www.omarys52.blogspot.com
No comments:
Post a Comment