Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Friday, May 4, 2012

Bibi Saada Mkuya Salum kuwa Mbunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Mei 4, 2012, amemteua Bibi Saada Mkuya Salum kuwa Mbunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unaanza mara moja. endelea kuwa pamoja nasi

No comments: