Kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kinachomalizika leo huko Addis Ababa Ethiopia pamoja na mambo mengine kimetawaliwa na mgogoro wa Mali, mvutano wa Sudan na Sudan Kusini na mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wakati huo huo, idadi ya raia wanaokimbia mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inazidi kuongezeka kila siku.
Monday, July 16, 2012
Umoja wa Afrika wasema uko tayari kutuma vikosi vya kusimamia amani Congo DRC
Kikao cha wakuu wa Umoja wa Afrika kinachomalizika leo huko Addis Ababa Ethiopia pamoja na mambo mengine kimetawaliwa na mgogoro wa Mali, mvutano wa Sudan na Sudan Kusini na mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wakati huo huo, idadi ya raia wanaokimbia mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inazidi kuongezeka kila siku.
Posted by
AO Secretarial & Technology Supplies
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment