Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail
Showing posts with label Wananchi wa Bahrain wasisitiza kuendelea na harakati za mapinduzi. Show all posts
Showing posts with label Wananchi wa Bahrain wasisitiza kuendelea na harakati za mapinduzi. Show all posts

Monday, May 14, 2012

Wananchi wa Bahrain wasisitiza kuendelea na harakati za mapinduzi

Katibu Mkuu wa Mrengo wa Kiislamu wa al Wifaq nchini Bahrain amesema kuwa, kuwepo muungano kati ya Saudi Arabia na Bahrain hakuwezi kusimamisha mapinduzi ya wananchi wa Bahrain.