Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail
Showing posts with label Tunafuatilia utekelezwaji wa mkataba wa amani CAR. Show all posts
Showing posts with label Tunafuatilia utekelezwaji wa mkataba wa amani CAR. Show all posts

Monday, January 28, 2013

Tunafuatilia utekelezwaji wa mkataba wa amani CAR

Umoja wa Afrika AU umetangaza kuwa, unafuatilia kwa karibu utekelezwaji wa mkataba wa amani uliofikiwa hivi karibuni baina ya makundi ya waasi na serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati. Ramtane Lamamra, Kamishna wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Amani na Usalama amesema, umoja huo unafuatilia kwa karibu utekelezwaji wa mkataba wa amani wa Libreville, Gabon baina ya makundi ya waasi na serikali ya Rais Francois Bozize wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.