SEKRETARIETI YADAIWA KUPENDEKEZA WAKATWE,VURUGU ZA NZEGA ZAWAPONZA,WABUNGE,MAWAZIRI SASA RUKSA KUWANIA UONGOZI
Waandishi Wetu
MAKALI ya panga la Sekretarieti ya CCM, yameanza kuonekana baada ya majina ya wagombea wa nafasi ya Halmashuari Kuu (Nec) ya chama hicho kupitia Wilaya ya Nzega, Mbunge wa Jimbo hilo, Dk Hamis Kigwangalah na Mjumbe wa Mkutano Mkuu, Hussein Bashe kukatwa.
Habari za uhakika zilizopatikana kutoka Dodoma zinaeleza kuwa Sekretarieti ya CCM iliyoketi hivi karibuni, kupitia majina ya wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho ikiwa chini ya Katibu Mkuu wake, Wilson Mukama iliamua kuyaondoa majina ya Kigwangalah na Bashe kwa madai kuwa wamekiabisha chama hicho.