Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Sunday, April 29, 2012

Shambulizi ya guruneti latokea nchini Kenya

Mtu mmoja ameuawa na wengine sita kujeruhiwa katika shambulio moja lililotokea leo asubuhi katika kanisa moja nchini Kenya. Waleojeruhiwa inasemekana wako katika hali mahututi. Tukio hilo ambalo limetokea katika kanisa la Gods House of Miracle International limekuja baada ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi kutoa onyo kuhusiana na uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi nchini humo.

No comments: