Mashabiki wa filamu za Bongo pamoja na wasanii wa fani hiyo leo hii waliweza kukaa msibani bilaa ya kuogopa mvua pindi mvua iliponyesha Jijini Dar es Salaam.
Wakati tukio hilo likiendelea mashabiki walioneka kuwa na majonzi sana kwa kuondokewa na kipenzi wao marehemu Kanumba, huku wakizidi kufunga barabara na kuwazidia nguvu jeshi la polisi

No comments:
Post a Comment