Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Saturday, April 7, 2012

HABARI ZISIZO RASMI KUHUSIANA NA KIFO CHA KANUMBA

Kuna habari zisizo rasmi kwamba kifo cha Kanumba kimetokana ukomvi na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Lulu, kwamba Marehemu alipokua anatoka bafuni kwa kujiandaa kutoka Ijumaa usiku wa kuamkia Jumamaosi kwenye saa 6 usiku alimsikia Lulu akiongea na mwananume mwingine kwenye simu ndipo ilipotokea purukushani ya hapa na pale na Marehemu akasukumwa na kuangukia kisogo.

Sasa hivi watu mbali mbali wakiwemo wasanii wa sanaa zote na waandishi wa habari wanazidi kuwasili nyumbani kwa marehemu. Tutazidi kuwaletea habari zaidi

No comments: