Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Monday, February 13, 2012

Si Uhaba wa viwanja vya Mpira wa miguu {Football} pekee tu hata vya kuchezea pooltable pia hatuna

Baadhi ya vijana katika kijiji kimoja nchini walionekana wakiwa wabunifu zaidi baada ya kukosa kiwanja cha kuchezea pooltable katika kijiji hicho. Vijana hao ambao walitengeneza meza ya kuchezea kwa kutumia udongo huku kete zikiwa ni matunda ya pori (nyanya chungu) na master ikiwa ni ya udongo
Add caption

No comments: