Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail
Showing posts with label Russia yaonya kuhusu vita dhidi ya Iran. Show all posts
Showing posts with label Russia yaonya kuhusu vita dhidi ya Iran. Show all posts

Thursday, January 24, 2013

Russia yaonya kuhusu vita dhidi ya Iran

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov ameonya kuwa hujuma yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran itasababisha maafa makubwa.
Akizungumza na waandishi habari mjini Moscow, Lavrov amesema kutatua kadhia ya nyuklia ya Iran kupitia nguvu za kijeshi ni jambo ambalo litasababisha maafa makubwa duniani.