Mateka wapatao 1200 wameendelea na mgomo wa chakula ulioanza mwanzoni mwa mwezi huu, kulalamikia hali mbaya katika jela za kikatili za utawala haramu wa Israel.
Taasisi ya kutetea haki za mateka wa Kipalestina imetangaza kuwa, jana jioni mateka Muhammad Halas alifikishwa katika chumba cha oparesheni katika hospitali ya Israel kutokana na hali yake kuwa mbaya kiafya.
Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi hiyo, mateka huyo anatokea Ukanda wa Gaza. Hivi karibuni Waziri wa Palestina anayeshughulikia masuala ya mateka na wafungwa wa Kipalestina alitahadharisha kwamba kuna uwezekano wa mateka wa Kipalestina kupatwa na hali mbaya zaidi kutokana na kuendelea na mgomo wa chakula katika jela za kutisha za utawala katili wa Israel.

No comments:
Post a Comment